LYRICS: BURGER SELFIE MOVIE - BELLE 9 FT. JUX, IZZO B, GNAKO


[Izzo Bizness]
Kanichanganya changanya changanya mtoto hasa na bonge la show
Cheki jibaba na bonge la mwili lakini mtoto kani-control
Hey, burger, movie, selfie (popcorn, antaka ye)
Mtoto cute, smart, ice cream cone (anapata ye)
Bonge la demu yuko na baddest rapper
Heshima kila sehemu wanoko washafyata
Ngoma melody tamu yaani Grace Matata
Ananiita Mandingo Shaka Zulu, Shaka

[Jux]
Anavyovaa… I know what she needed
Haja zake nitimize
Sija haja nimuulize
Kabla yote kwanza anataka
Burger, movie, selfie, popcorn
Burger, movie, selfie, kiss and hug
Burger, movie, selfie, popcorn
Burger, movie, selfie, kiss and hug

[G Nako]
Baby I’m faded, baby I’m faded
Baby I’m faded, we faded
Burger, movie, selfie, take wa-tell mashosti uko na mi, baby
Kila kitu kimenoga ntade (ah sasa sawa)
Wapi kunanoga ntade I’m ready
Baby, I’m ready
Uoga wa hela sipendi, kuloga naloga mapenzi
Ama twende zetu Zenji, ama twende Dubai
(Oh-oh oh-oh) baby I’m faded!

[Belle 9]
Oh she’s not fake ndo type ya Belle 9
Mimi miss world namuita miss chumbani
After good bam she want another round
Atani-follow ghetto na sio Instagram
Mabishoo, mabugatti kasema no
Karidhika penzi asali, hakuna mfano
Mabishoo, maversaji, kakataa kasema no
Karidhika penzi asali, hakuna mfano

[Mr Blue]
Penzi lake bora kwenye ubora wake
Mistari nachora kusifu upendo wake
Nimedorora toka nimeondoka kwake
Polisi bila ving’ora hawafanyi kazi zake
Cute face, shape bom, kichwani nywele ndefu
Mpaka mademu wa home naona kichefuchefu
Burger, movie, selfie, popcorn na kadhalika
Nkimsifu kwa microphone ujue kashakubalik
Share on Google Plus

0 comments: