[Intro – Nikki Mbishi]
Life is all about ups and downs
Yeah!
Life is all about ups and downs
Yeah!
[Verse 1 – Nikki Mbishi]
Things will never be the same, boo
Mwanaume ni mwanaume na demu atabaki demu tu
Washikaji nyoka wanatongoza mpaka mashem duh!
Na tunakula nao round table, shame fool!
Vicheche nao mapepe ka yule demu wa Kingwendu
Ndo maana nawaosha kama shampoo, washenzi tu
Y’all niggas don’t know what the f*ck I went through
Ntawapa mastori ya wazi sio confidential
Of course I make sense, kuficha maradhi
Nisije kuumbuliwa na kifo walinifundisha wazazi
Ah, nishasaliti, nishasalitiwa
Nikasali na kubarikiwa
Nakufanikiwa kupata binti flani malikia
Ako fit yaani maridhia, na nikaridhia
Kumbe wapi naidanganya yangu nafsi
Mnafki, nyuma ya pazia ni magumashi

[Chorus – Otuck William]
Nenda unapokwenda kama unaona labda mimi sikufai
Hunidai, sikudai
Kama vipi, vipi mbwai mbwai
Sepa bye bye

[Verse 2 – Nikki Mbishi]
Ujanja unaoleta kwangu senseless
Uko na mimi na una-chat na exes
Huku unanizuga kwamba hawa ni ma-school mates
Sanya vyako funga b*tch it’s too late
Mara Peter, mara Toni
Mara Mgita, mara Boni
Wanapita marathon, miksa picha za ugoni
Hasira ikinishika nakupiga na hukomi
Kusoma sijui ndo hata picha sioni!
Kutwa kuomba omba, mabwana kuhongwa hongwa
Ni ufukara ama hulka ya bupa kuonjwa onjwa
Niko msoto kwenye mishe, we umelala huna pressure
Huku mtoto hana lishe, we unawaza kupendeza!
Nakomaa na game sokoni we don’t sell sh*t
Na bado unani-blame it’s a shame, am I selfish?!
Najitahidi ku-provide mahitaji
Kumbe picha zako zipo kwa profile za washikaji

[Chorus – Otuck Willim]
Nenda unapokwenda kama unaona labda mimi sikufai
Hunidai, sikudai
Kama vipi, vipi mbwai mbwai
Sepa bye bye
Nenda unapokwenda kama unaona labda mimi sikufai
Hunidai, sikudai
Kama vipi, vipi mbwai mbwai
Sepa bye bye
Nenda unapokwenda kama unaona labda mimi sikufai
Hunidai, sikudai
Kama vipi, vipi mbwai mbwai
Sepa bye bye
Nenda unapokwenda kama unaona labda mimi sikufai
Hunidai, sikudai
Kama vipi, vipi mbwai mbwai
Sepa bye bye
[Verse 3 – Nikki Mbishi]
Nishaachana na u-playboy
Lakini unani-force nirudi nilipotoka kutembeza ka jogoo
Kulegeza kwangu no, nimeshacheza kwa fujo
Nsije kufa nikabebwa kwa jeneza na Fuso
Ah, hukunipenda we ulipenda pesa
Genda hekaheka, fanya nenda sepa
Genda heka this is the point of no return
Ntapata mwingine I swear bonge la shori, man
Stori gani tena unaleta?! Sinema imekwisha
Nshajifanya mwema ila wema umenifelisha
Ukiniua mapema my fans watapata wapi flavor?
Mama sepa nifie stage mithiri ya Papa Wemba
Kwa sasa sina mchele sepa
Kwahiyo kama unahisi nakuchelewesha
Kapige misele kesha
Tutakutana Kontena au Copa Cabana
Nakuomba Rabana, mke mwema anatoka kwa bwana

0 comments: