SIMULIZI:NIPATIE MIMI




SIMULIZI;Nipetipeti Mie!
MTUNZI NA MWANDISHI;Elyam.E.Chemps
UMRI;(18+)
MSIMU WA_1
SEHEMU YA 1
Lulu ya warembo au sukari ya warembo kama wengi wamjuavyo kijana huyu mwenye umbo dogodogo,kwa akina mama wanaopenda watoto wadogo humuita serengeti boy.Fikra zake zote huwa ni juu ya wanawake tu,hata pale anapokuwa ameachana nao wao wenyewe huzisambaza sifa zake kwenye sekta nzima ya mapenzi,wanaishia kusema anajua kupetipeti.
Ramani zake ameanza kuzichora upya za kuelekea kwa warembo wengine na kibaya zaidi huwa anapendwa asikopenda na yeye akipenda huwa ndo hapo kwanza anatendwa yaani, anayempenda kweli ndo anamsaliti.
Ilikua ndani ya chumba cha mwalimu wake,ambaye ameolewa na mwalimu wake mkuu,Elly bila hata woga tayari ameshamlegeza na kumweka kitandani mke huyo wa mwalimu wake tena kwenye kitanda ambacho huyo mwalimu anatumia na huyo mme wake.
Lakini hata huyo mwalimu hakuogopa kwa kuwa anampenda sana Elly na kila akipata muda kidogo huwa anafanya hivyo,mapigo hayakua ya kawaida kiukweli mwalimu huyo hakupata pakupumulia kama maziwa yake yote yalikuwa yanashughuliwa vizuri,moja Elly analizungusha huku na kule kwa ustadi wake jingine linang'atwa kidogo na kunyonywa.
Basi mke wa mwalimu naye akawa amenogewa akaanza kuli kimahaba,
"Mhh...jamani..we mtoto unajua kwel...i uwiii niache...mie...aaashhh!"
Pamoja na kuwa katika joto la hatari na mautamu ya aina yake,Elly hakusahau kuwa wako kwenye nyumba ya mwalimu wake mkuu,akaona kuwa hizi kelele za mwanamke yule zitazidi akaamua kumziba na busu motomoto
(mwaaaaamsshs!)...,Ghafla,
"Wewe vipi,Elly mbona mawazo hivyo?"
Kumbe yote hayo kwamba,Elly amelala na mke wa mwalimu wake mkuu yalikua ni mawazo tu,akikumbuka kipindi bado yuko shuleni na ile sauti iliyomshtua na kumuuliza kwanini anamawazo ni ya rafiki zake,Cyrus na Borhz ambao amemaliza nao kidato cha sita sasa wamekuja kumtembelea pale alipokua akiwaza.
Palikuwa ni dukani ambapo amewekwa kwa muda na baba yake mzazi huku akisubiri matokeo yake ya kidato cha sita.
Basi akawa anaongea na wale marafiki zake na kukumbushana zamani huku wakicheka sana kwa sauti mpaka baadhi ya wateja hawakufika dukani pale kununua vitu,muda sio mrefu Cyrus akawa ameaga kuwa kuna sehemu anawahi kidogo nao wakamuacha na kumuaga.
Pale akabaki Elly na Borhz ambaye huyu Bohrz kuanzia jina mpaka muonekano wake usingesema ni mtanzania halisi,anaasili ya kiharabu lakini yeye kidogo ni mstaarabu sio kama marafiki zake Cyrus na Elly
Borhz na Elly waliendelea kukumbushana maisha yao ya zamani huko shuleni na kufurahi sana.Muda mfupi baadae wakamwona mwenzao Cyrus anarudi kwa mbali lakini mara hii hakuwa peke yake alikua na binti flani mrembo hatari,ngozi ya kijani kikavu na umbo hilo sio sebene ni la kingereza yaani(english figure).
Elly kama kawaida yake akamkodolea jicho hilo mpaka wakawa wanakaribia kuwapita,

Usikose Msimu wa pili hapa hapa #aidanleonceblog

Like page ya mwandishi kwa kuclick link hii

https://m.facebook.com/Story-za-elly-197292783936540/

https://m.facebook.com/Story-za-elly-197292783936540/
Share on Google Plus

0 comments: