DOWNLOAD
Msanii toka pande za Marekani Chris Brown kaamua kumshirikisha msanii maarufu Africa kutoka nchini Nigeria mkali wa nyimbo kama "ON TOP OF YOUR MATTER" Na nyingine nyingi msanii wizkid, wimbo unaenda kwa jina la SHABBA pia akishirikiana na Hoddy baby na section boys!
0 comments: